Soma.ujumbe wa mwisho wa kipa wa Chapecoense
Golikipa wa Chapecoense Danilo aliyeokolewa kutoka kwenye ajali ya ndege iliyoanguka Medellin, Colombia alifariki baada ya kuvuja na kupoteza damu nyingi sana ndani na pia kuharibika viungo vyake.
Inasemekana kabla ya kufariki alisema maneno haya:
“Yesu itazame familia yangu kisha chukua uhai wangu haraka. Tayari baadhi ya rafiki zangu wananisubiri mbinguni, wanahitaji golikipa huko walipo.”