Matokeo ya mechi za EPL
Na Nasri Alfan
Mechi ya kwanza ili kuwa niya BOURNEMOUTH dhidi ya SUNDRELEND mechi ambayo Sunderland aliweza kubuka na ushindi ugenini wa goli 1 kwa 2 ushindi ambao ume msaidi David Moyess kuku sanya pwenti 5 pekee kwenye michezo 11 iliyo pita pia Sunderland ndio timu inayo shika mkia kwa sasa
BURNLEY wali endeleza wimbi la matokeo mazuri bada ya jana kupata ushindi w Goli 3 kwa 2 nyumbani dhidi ya C.PALACE hii nibada wa wiki iliyo pita kupata Suluhu ugenini dhidi ya Manchester United
Manchester City wali lazimishwa sare ya goli 1 kwa 1 dhiya Middlesbrough
Middlesbrough ambayo pia waliweza kupata Suluhu mechi dhiya Aresenal jana wame fanikiwa kuwazia tena miamba ya EPL kwa goli la dakika za lala salama la de roon huku goli la Man City liki fungwa kipindi cha kwanza na Kun Aguero
Sare ambayo ina ishusha City kile leni na sasa Chelsea ana ongoza ligi hiyo ita tegemea mechi ya leo kama Aresenal ataweza kupata matokeo mazuri dhiya TOTTENHAM Aresenal ata kuwa ana ongoza ligii
Chelsea 5 Everton 0
Mechi ambayo ime mfanya Conte kukaa kileleni mwa ligii ku ya ENGLAND pia Hazzard ame weza kutimiza goli 7 katika mechii 11 pekee.
Pia kwa sasa Chelsea wata kuwa wame timiza Clean sheet 6 katika toka ligii ianzee yani kucheza mechi 6 bila kuruhusu goli ndio timu yenye Clean sheet nyingi kwa msimuu huu hii ina tokana na ohodari wa mbinu za Conte katika kujilindaaa