Matokeo na uchambuzi mechi zote za EPL
Na Nasri Alfan
ARSENAL 1 TOTTENHAM 1
ARSENAL wali hitaji ushindi ili kuweza kukaa kileleni mwa ligii jambo ambalo lili washindaa
Aresenal wali kuwa wakwanza kupata goli bada ya beki wa Tottenham ( Kevin Wimmer ) kuji funga dk 42 ku tokana na mpira wa adhabu ulio pigwa na Mesut Ozil
Kipindi Cha pili Spurs waliweza kusawa zisha kupitia kwa msha mbuliaji wao Harry kane dk 51 ambae alionekana kutokuwa na makali sana hii ina tokana na kuwa majeruhi kwa mdaa mrefu kido
Liverpool 6 Watford 1
Liverpool waendeleza wimbi la ushindi na sasa ndio vinara wa EPL hii ni baada ya kutimiza pwenti 26 huku nyuma yao akiwa Chelsea anae shika nafasi ya 2 akiwa na pwenti 25
Safu bora ya ushambuliaji ndio silaha kubwa ya Liverpool huku ikiwa ndio timu ilio funga magoli mingi Epl mpaka sasa washa funga magoli 30
Tatizo la Liverpool ni eneo la beki yao kwenye mechi 11 zilizopita wame weza kuma liza dakika 90 bila kufungwa mechi moja tyu mechi ambayo walikutana na Manchester United
Swansea 1 Man Utd 3
Mechi ambayo ime ifanya United kutimiza pwenti 18 huku wakiwa nafasi ya 6
Pia nimechi ambayo Morinho ali amuwa kuwa anzisha wakongwe wa 3 ambao hawa kumu angusha Carrick Rooney na Zlatan
Huku Rooney akiweza kutoa Assist ambazo zime muwezesha Zlatan kufunga goli 2 na goli moja liki fungwa na p.pogba
Matokeo mengine ni
Hull City 2 Southampton 1
Leicester 1 W.brom 2