Kweli Julio ameachana rasmi na soka
Piçhani: Kocha wa zamani wa Mwadui FC ya Shinyanga, Jamhuri Kihwelu 'Julio' anaonekana katika picha akiwa kulia amesimama sambamba na gari la kifahari, lakini kimuonekano Julio yuko viwanja vya majuu akila maisha