SIMBA YAMLETA RAFIKI WA MAJABVI

Na Salum Fikiri Jr  DAR ES SALAAM

SIMBA SC imeanza harakati zake za kuimarisha kikosi chake baada ya kumleta beki kisiki anayedaiwa kuwa ni kiboko ya mshambuliaji hatari wa Yanga Donald Ngoma, Method Mwanjali raia wa Zimbabwe.

Licha kwamba beki huyo kudaiwa ni mzee ana miaka 33 lakini ana uwezo mkubwa wa kusakata kandanda  Method ni chaguo la kiungo mwingine wa Simba anayedaiwa kutimkia Austria Justice Majabvi.

Endapo beki huyo ambaye pia anacheza kama kiungo mkabaji, atachukua nafasi ya Paul Kiongera, Tayari Simba imeshafanikiwa kuwasajili wachezaji watano wa ndani na sasa imegeukia wa kigeni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI