AZAM YAMALIZANA NA MBAYA WA YANGA

Na Salum Fikiri Jr  DAR ES SALAAM

KLABU bingwa Afrika mashariki na kati Azam FC imefanikiwa kumsainisha winga machachari wa Medeama ya Ghana Enock Atta Agyoi kwa mkataba wa miaka miwili.

Atta alikuwa tishio kwa mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga SC katika mchezo wa makundi kombe la Shirikisho dhidi ya Medeama, katika mchezo huo uliofanyika uwanja wa Taifa Dar es Salaam  Yanga ililazimishwa sare ya kufungana 1-1.

Ina maana Ataa ataitumikia Azam FC msimu ujao na katika mchezo wa Ngao ya Hisani ambapo Azam itakutana na Yanga katika uwanja wa Taifa

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI