AMOSI KIPANDE, ANAYEJIANDAA KULIZIBA PENGO LA MR EBBO

Katika Burudani Leo Taunamzungumzia Mwahiphop Amosi Mkama A.K.A Boss Rapper Ama Kipande Na Wana. Msanii Pekee Ambaye Anaweza Kuliziba Pengo La Marehemu Mr Ebbo.

Kutokana Na Mashaili Yake Mazuri Yenye Ujumbe Wa Kuchekesha Na Kufundisha. Ukweli Utabaki Kuwa Ukweli Pale Alipo Achia Nyimbo Yake Iitwayo Pesa Shobo.

Aliyowashirikisha  Golo Man Na Moriento Katika studio Ya Hekiman Records Chini Ya Producer Galatone Money Na Meneja Sakaingo.

Nyimbo Iliyo Mpa Mashabiki Wengi Sana Na Kujipatia Shoo Mbalimbali. Kwa Sasa Yuko Jikoni Akiipika nyimbo Yake Mpya Itwayo Shori Wa Kijiji. Amboyo Ameshindwa Kuniweka Wazi Atafanya Nanani, Amapekeyake Au Studio Gani.

Aliniambia Ukuacheka Kama Kawaida Yake Akisema Uhusio Muda Wakuongea Kila Kitu Ila Mashabiki Wangu Wategemee Mambo Manzuri Kutoka Kwangu. Nimimi Mkola Man Kutoka Hale Ktk Habari Na Wasanii

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI