MAAJABU YA CHIFU PANDUKA YAZIDI KUWAVUTIA WENGI
Yule mganga maarufu Chifu Panduka aliyerejea hivi karibuni kutokea falme za Kiarabu na kufikia katika kituo chake kilichopo Tabata jijini amezidi kuwavutia wengi kutokana na miujiza yake ya kutumia utabiri.
Mganga huyo ambaye aliwahi kutabiri kuwa CCM kitapata mchituko mkubwa wa kuondokewa na mwanasiasa wake maarufu na kweli ikatokea hivyo baada ya aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza wa serikali ya awamu ya nne ya Jakaya Kikwete, Edward Lowassa kukihama chama hicho na kujiunga na wapinzani.
Lowassa amehamia Chadema ambacho nacho kimemtangaza kuwa mgombea wake katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu, mganga huyo anayetumia nyoka wake wa maajabu anazidi kuwashangaza wengi kufuatia juzi kutangaza mshindi wa kiti cha urais wa jamhuri ya muungano.
Mbali na kumtaja rais, pia amebashiri mambo mbalimbali ikiwemo Tanzana kushangaza duniani kwa mambo ya utalii ambapo wageni wengi maarufu wataitembelea kushangaa vivutio vilivyopo, pia ametabiri Simba ya Tanzania itatamba msimu ujao
.Panduka hakuishia hapo na kudai kuna mwanasiasa mwingine maarufu hapa nchini atashangaza kwa msimamo wake atakaoutoa hivi karibun, endapo utamuhitaji mganga huyo kwa tiba nyingine na utabiri wa nyota ndani ya maisha yako basi waweza kumtembelea ofisini kwake Tabata Relini round about au mpigie simu 0715 281162