BABU PLUIJM ATUA YANGA, MWENYEWE ASEMA NDOTO ZAKE ZIMETIMIA.
Aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga Hans Van der Pluijm 'Babu' amewasili jana
usiku tayari kabisa kwa kuanza kazi ya kuinoa timu hiyo, Pluijm ataanza kazi ya ukocha mara tu atakapokuwa amesaini mkataba mpya.
Mtandao huu unafahamu kuwa Pluijm aliyewasili saa 8:30 usiku wa kuamkia leo atasaini mkataba mpya na Yanga baadaye leo kabla ajaanza majukumu yake, Babu kama anavyojulikana na wengi amekuwa akisifika kwa ufundishaji wake ambapo Yanga ilikuwa aikicheza soka safi na la kuvutia huku ikitoa vipigo vya mabao 7-0 na kupachikwa jina la 'Wazee wa wiki'..
Yanga imemfuta kazi kocha wake Mbrazil Marcio Maximo pamoja na msaidizi wake Leonaldo Neiva., pia imeamua kuachana na mchezaji wake raia wa Brazil Emerson Roque, Pluijm naye atafanya kazi na msaidizi wake Charles Boniface Mkwasa, awali makocha hao waliwahi kuinoa Yanga lakini wote wawili walienda Saudi Arabia.