SANGOMA AIPA YANGA USHINDI DHIDI YA SIMBA.

Yanga imetabiriwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya hasimu wake Simba watakapokutana Oktoba 18 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

 Mnajimu na mtabiri maarufu nchini Dk Mtakoma ubishi ametoa utabiri wake kuhusu mchezo huo ambapo nyota zinaipa Yanga mabao mawili. 


Mtakoma ubishi ambaye ni mganga wa jadi kutoka Mbaramo mkoani Tanga anayetibu maradhi mbalimbali na kuweka kinga za nyumba, shamba, biashara nk amemtaja Jaja kuwa nyota yake inang'ara na atatamba msimu huu. Aidha mnajimu huyo ametabiri matokeo mabaya kwa miamba hiyo wachezapo mikoani. kwa mawasiliana naye piga simu 0658-395905

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA