RAHEEN STERLING ARUDI MZIGONI LIVERPOOL, 'DOGO'YUKO FITI KINOMA'
KIUNGO
wa Liverpool, Raheem Sterling amerudi jana mazoenini katika uwanja wa Melwood
kufuatia kuzuka utata katika ombi lake la kutoanza kikosi cha England
kilichoshinda bao 1-0 dhidi ya Estobia kwasababu ya uchovu.
Sterling
alikuwa anafanya mazoezi ya kuongeza kasi na kumiliki mpira katika uwanja wa
mazoezi wa Anfield akiwa sambamba na Steven Gerrard, Mario Balotelli
na Glen Johnson.
Baada
ya mazoezi hayo, nyota huyo mwenye miaka 19 aliondoka na mchezaji mwenzake wa
Liverpool na England Jordan Henderson.
Sterling
akimiliki mpira katika mazoezi yake ya kwanzatangu arudi kutoka katika majukumu
ya kimataifa
·
SHARE PICTURE
·
·
·
·
·