SUGE KNIGHT ANUSURIKA KUUAWA

Mkurugenzi wa zamani wa kampuni ya muziki ya Deathrow ya Marekani, Suge Knight anaripotiwa kufanyiwa upasuaji hospitali kufuatia kupigwa risasi katika sherehe isiyo rasmi ya tuzo za video bora za MTV.

Suge Knight inadaiwa alipigwa risasi kadhaa mapema siku ya Jumapili (Agosti 24), akiwa West Hollywood nightspot 1 Oak. Knight aliweza kuondoka huku akitembea mwenyewe katika sherehe hiyo iliyoandaliwa na Chris Brown, kabla ya polisi kumsaidia, kwa mujibu wa tovuti ya TMZ.

Kupigwa risasi kwa mkurugenzi huyo wa zamani wa Deathrow kunakumbushia kuuawa kwa Tupac Amar Shakur pamoja na B.I.B miaka iliyopita huko huko Marekani



Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA