PAUL SCHOLES AMPA USHAURI WA BURE VAN GAAL MAN UNITED
Labda
enzi za utawala wao zimepita, lakini wakati United inawatema Nemanja
Vidic, Rio Ferdinand na Patrice Evra msimu huu, imepoteza wachezaji
watatu ambao wameshinda mataji 16 ya Ligi Kuu ya England baina yao.
Kupoteza
aina ya uzoefu huo ni pigo kwenye klabu, kwa mujibu wa Scholes, ambaye
anafikiri Van Gaal anapaswa kusajili mabeki wapya wawili wa kati.
Bwana mkubwa: Louis van Gaal anahitaji kununua mabeki wapya wawili, ushauri wa gwiji wa United, Scholes
"Ana mabeki watatu wa halisi wa kati. Michael
Keane na Tyler Blackett wanakuja vizuri, lakini kwa kuwa hawana uzoefu,
anakosa kitu muhimu baada ya kuwapoteza Rio, Vidic ma
"Phil
Jones, Chris Smalling na Jonny Evans wote ni mabeki wazuri, lakini wan a
matatizo ya majeruhi. Natumai wangeongeza watu, ili kuweza kuhimili
vishindo vya msimu.
"Nina uhakika watafanya vizuri, lakini nafikiri angetazama mabeki kadhaa wa kuongeza kikosini,". amesema’
Wakongwe
wameondoka: United itawakosa mabeki watatun wakongwe kama Nemanja Vidic
na Rio Ferdinand, anayeichezea timu yake mpya QPR pichani