ANGALIA PICHA KUMI ZA BIRTHDAY YA BALOTELLI WA TANZANIA

Picha ya kwanza, Balotelli wa Tz akimlisha keki mama yake mzazi Beatrice wa Kariakoo.
-------------------------

Picha ya pili,Balotelli akimlisha keki kaka yake.
---------------------------
 Picha ya tatu.Balotelli akimlisha keki rafiki yake.
 --------------------------
Picha ya nne, Balotelli akimlisha keki babu yake mzee Shadrack.
----------------------------
Picha ya tano, Mama yake Balotelli akimlisha keki mwanaye Balotelli wa Tz.
---------------------------
Picha ya sita, Keki iliyopambwa vema ikionyesha umri wa kuzaliwa wa mtoto Balotelli wa Tz.
---------------------------
Picha ya saba,Mama Balotelli akiwa na wanawe wa kuwazaa.
-------------------------------
Picha ya nane,Mtoto Balotelli akiwa na watoto wenzake wakati wa kuadhimisha miaka miwili ya kuzaliwa hivi karibuni
------------------------------
Picha ya tisa,Balotelli akimlisha keki shabiki wa Yanga aliyeudhuria sherehe hiyo.
-----------------------------------------------------------
Picha ya kumi. Mama Balotelli akiwa amekaa na watoto walioudhuria sherehe ya kuzaliwa mwanaye Balotelli, Picha zote kwa hisani ya Mambo Uwanjani Blogspot.









Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA