MASIKINI DALLARS, MAISHA YA MUZIKI YAMEMSHINDA.
MUZIKI ni bahati ya mtu, Diamond Plutinum anaendesha gari la kifahari sawa na Nay wa Mitego, huwezi kumkuta akibeba zege au kusukuma mkokoteni, lakini maisha yamekuwa magumu kwa staa muziki wa kizazi kipya aliyegeukia upande wa hip hop Mark Dallars aliyepata kutamba na wimbo wake wa Mtaani kwetu.
Mambo uwanjani ilimshuhudia nyota huyo akisukuma mkokoteni ili kupa ujira mdogo kufuatia maisha ya muziki kumwendea kombo, Dallars alitupia katika ukurasa wake wa facebook ambapo alisema 'Natafuta ela ya sikukuu kwa mtindo wowote bishoo endelea kusubiri uletewe', ulisema ujumbe wake.
Aidha maneno hayo ya msanii huyo anayesota kwa sasa kutokana na nyimbo zake mpya anazotoa kutopokelewa vema na mashabiki wake, ujumbe wake umekuwa na maana kubwa kwa watu maarufu ambao wengi wao hujifanya mabishoo.
Ni darasa tosha kwa msanii huyo na kile alichokisema kinadhihirisha kuwa wasanii waliopotea kwenye gemu wasibaki kusubiri kuletewa hela na jamaa zao na kujikita kwenye kazi za kuvuja jasho kama alivyofanya Dallars.