SIRI YA KUNYIMWA MPIRA TAMBWE HII HAPA
Hatimaye shirikisho la kandanda nchini TFF limetoboa siri ya kumnyima mpira mshambuliaji wa Simba Mrundi Amisi Tambwe ambaye alifunga magoli manne kwenye mchezo mmoja ulioisha kwa timu yake ya Simba kuilaza Mgambo Shooting mabao 6-0 katika uwanja wa Taifa.
Akizungumza jana, Afisa habari wa shirikisho hilo Boniface Wambura amesema hakuna ulazima wa kumpa mpira mchezaji anayefunga magoli matatu kwani sheria za Fifa hazionyeshi kama kuna kifungu hicho, pia amemtetea mwamuzi kwa kitendo alichokifanya.
Amedai mwamuzi wa mchezo huo akutenda kosa kumnyima mpira Tambwe kwani hseria ya Fifa haina kifungu kinachosema hivyo, amesisitiza kuwa Fair play hutumika kumpa mpira mchexzaji anayefunga goli tatu, Tambwe alinyimwa mpira baada ya kuifungia magoli manne timu yake katika mechi moja kitendo kilichozua utata.
Hivi karibuni Cristiano Ronaldo wa Real Madrid ya Hispania alifunga magoli matatu katika mchezo mmoja na kukabidhiwa mpira wake huku hasimu wake Lionel Messi naye akifunga magoli kama hayo na kupewa zawadi yake ya mpira kitendo kilichozua utata Tambwe aliponyimwa mpira