HUYU NDIO SHABIKI WA SIMBA NA BARCELONA ALIEPIGWA RISASI AKITAZAMA MECHI DS

.
Ni fundi wa magari ambae ni shabiki mkubwa sana wa soka, baada ya kazi nzito ya gereji… muda wake mwingi anautumia sana kutazama soka… hakujua kama siku moja angekuja kupigwa risasi akiwa anatazama mechi, stori ya kisa kizima ataizungumza leo usiku april 29 2013 saa moja usiku kwenye AMPLIFAYA ya Clouds FM.
.
Risasi aliyopigwa ni ya mkononi, akishaizungumza stori yake kwenye Amplifaya leo ndio nitaiandika hapa millardayo.com mtu wangu.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA