HAMMER Q ALIVYOTAKA KUMUUA MKEWE
30/05/2013
HIKI NDIYO KIPIGO CHA SALHA KUTOKA KWA MUMEWE HAMMER Q
Baadhi ya picha za mkewe baada ya kipigooooo.
Nguo za
Nguo za Hammer Q zikiwa zimetapakaa damu.
Kwa mujibu wa zeddylicious Salha alipewa kichapo hiki baada ya
kumtambulisha rafiki yake wa kiume ambae ni Tx Moshi kwa mumewe Hammer
Q. Inavyosemekana alimpiga mateke, mangumi, akampasulia kioo kichwani,
kampiga na jiko la mkaa kichwani n.k