Yanga yaanza na kinda

KLABU ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji chipukizi, Hussein Juma Mihambo (19) kutoka Mashujaa FC kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu ujao.
Anakuwa mchezaji wa pili tu mpya baada ya chipukizi mwingine, winga Juma Issa Abushiri ‘Chuga Boy’ (18) kutoka Fountain Gate FC.

Hussein Juma Mihambo 
Young Africans Sports Club


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons