Wydad yamrejesha kundini Seleman Mwalimu "Gomez"

Selemani Mwalimu yupo jijini Dar Es Salaam akishughulikia safari yake ya kuelekea Morocco kwaajili ya maandalizi ya msimu mpya.

Kocha mpya wa Wydad, Paulo Sergio anataka kuwaona wachezaji wote kambini kabla ya kufanya maamuzi.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons