Wiki ya Wananchi ni Agosti 9
Mabingwa watetezi wa Ligi kuu soka Tanzania bara (NBC Premier League 2025/26) klabu ya Yanga imethibitisha kuwa Sherehe ya kilele cha "WIKI YA MWANANCHI" itafanyika Agosti 09,2026 kwenye uwanja wa Uhuru Jijini Dar Es Salaam.
Aidha, tukio la uzinduzi kuelekea kilele cha tamasha hilo litafanyika Jijini Mwanza kati ya Agosti 03 au 04,2026.
