Simba yawaashia taa ya kijani Slavia Prague

SIMBA rasmi wamewajibu Mabingwa wa Jamhuri ya Czech, Slavia Praha kuwa wanawapa siku 14 tu za majaribio pamoja na vipimo vya afya kwa Beki wao Hussein Ally Mbegu na sio miezi mitatu kama ambavyo Praha walitaka hapo awali kwakuwa wana mipango nae kuelekea msimu mpya endapo majaribio hayatofanikiwa.

Praha wanaoshiriki UEFA Champions League wamekubaliana na masharti ya Simba na tayari Kijana na Menejiment yake wameanza mchakato wa VISA ili asafiri haraka iwezekanavyo kuelekea barani Ulaya.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons