Simba yaja na Ibrahim Doumbia

Simba SC imemsajili mshambuliaji Ibrahim Doumbia kwa mkataba wa muda mrefu na sio kufanya majaribio kwenye CECAFA KAGAME CUP 2026 akitokea AS Kôrôfina

Ibrahim Doumbia ni mchezaji hatari sana akiwa amehusika kwenye magoli 22 kwenye mechi 24 za Ligi Kuu ya Mali.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons