Seleman Mwalimu Simba haina mamlaka ya kumtumia
Klabu ya Simba SC bado haina mamlaka ya kumtumia mshambuliaji Seleman Mwalimu Kwenye mchezo wowote ule bila idhini ya klabu yake mama ya Wydad AC,
Katika mchezo wa leo wa CECAFA KAGAME CUP dhidi ya klab ya Mogadishu City Club Seleman Mwalimu hakujumuishwa,
Klab ya Simba inapambana kuhakikisha inampata mshambuliaji huyo kwa mkataba wa mkopo kama ilivyokuwa hapo awali,
