Seleman Mwalimu aongeza mmoja Simba

Mshambuliaji wa Simba Selemani Mwalimu atakuwa sehemu ya kikosi hicho msimu ujao baada ya kuongeza mwaka mwingine mmoja. 

Mwalimu amekuwa na msimu mzuri baada ya kufanikiwa kuongoza kwa mabao kwenye kombe la CRDB Cup ambapo Simba ndio mabingwa.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons