Omari Omari rasmi Singida Black Stars
Singida Black Stars FC imekamilisha usajili wa kiungo Omary Omary kutoka Mashujaa FC ambayo anaitumikia kwa mkopo akitokea Simba SC.
Omary Jr alikuwa na mkataba wa miaka mitatu na Simba SC na mpaka sasa Singida Black Stars ilishamalizana na Simba SC kwa uhamisho huo kwa kila kitu!
