Neo Maema arejea Mamelodi

Kiungo mshambuliaji mwenye uraia wa Afrika Kusini, Neo Maema ambaye mkataba wake na Simba umemalizika rasmi, hatimaye amerejea Mamelodi Sundowns.

Taarifa zenye uhakika ambazo Mambo Uwanjani Blog imeyhibitisha kwamba mchezaji huyo amerejea timu yake ya nyumbani.

Kipengere cha mkataba wake na Mamelodi dhidi ya Simba kimemfanya arejee tena, Maema amekuwa na kiwango kizuri msimu uliopita na kupelekea Mamelodi kumuhitahi tena.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons