Mtoto wa kaka wa Diamond Platinum apewa jina la Aaliyah

Ricardo Momo ambaye ni kaka wa Diamond Platnumz amethibithisha kuwa mtoto wake aliyozaliwa amepewa jina la Aaliyaah.

Riacardo Momo ameeleza kuwa jina hilo alikuwa nalo tangu kipindi cha nyuma kwasababu huwaga anaplan za majina kabla hajapata watoto.

Aidha Ricardo Momo amesema kuwa haoni ubaya kwenye jina la Aaliyaah licha ya jina hilo kufanana na Aaliyaah wa Wasafi.

''Mimi huwaga na plan za majina kabla ya kupata watoto''Amesema -Ricardo


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons