Kocha wa Bafana Bafana ajiuzuru

Kocha Hugo Broos amejiuzulu nafasi ya kocha mkuu wa timu ya taifa ya Afrika Kusini (Bafana Bafana) baada ya kuhudumu kwa miaka mitano!.

Hugo amejiuzulu baada ya kumalizika kwa michuano ya FIFA World Cup 2026 na Afrika Kusini wapo wanatafuta mbadala wake mapema sana.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons