Kagere amkosoa Ibrahim Doumbia

Aliyekuwa mshambuliaji hatari wa Simba SC na timu ya taifa ya Rwanda, Medie Kagere, amefunguka na kueleza kusikitishwa kwake na nafasi ya goli aliyokosa mshambuliaji mpya wa Wekundu wa Msimbazi, Ibrahim Doumbia raia wa Mali.

​Akizungumzia tukio hilo lililokea katika mchezo wao wa CECAFA Kagame Cup, Kagere amesema:

​🗣️ "Kwangu binafsi, ile naichukulia kama ni nafasi ya dhahabu kwa mshambuliaji. Sijui ni kwa nini alichagua kufunga kwa namna ile; angechagua namna nzuri ya kufunga, lingekuwa ni goli rahisi."

​Unadhani Doumbia alikosa umakini au presha ya mechi za mwanzo imemshika ndani ya Simba SC? Dondosha maoni yako!


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons