Injinia Hersi amkaribisha kocha mkuu mpya Yanga

Rais wa Klabu ya Yanga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika (ACA) na Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Vilabu FIFA, Eng. Hersi Said amemkaribisha rasmi Kocha Mkuu wa Klabu yetu, Manqoba Mngqithi pamoja na benchi lake la ufundi nyumbani kwa Mabingwa wa kihistoria.

Tunawatakia kila la heri katika safari hii mpya ya kuendelea kuijenga na kuipeleka Klabu yetu kwenye mafanikio makubwa zaidi


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons