Ibraheem Jabaar amalizana na mnyama


Klabu ya Simba imeendelea kutambulisha wachezaji wapya na safari hii imemleta Ibraheem Jabaar raia wa Nigeria aliyekuwa anacheza Stellenbosch FC

Ujio wa Jabaar ni kuondoa tetesi zilizokuwa midomoni mwa watu kwamba Simba inaleta watu wa maana msimu ujao.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons