Chobwedo akwama Simba

Uhamisho wa Winga Ramadhani Chobwedo kujiunga na Simba SC kutoka TRA United FC umeshindikana katika hatua za mwisho baada ya Winga huyo kushindwa kufuzu vipimo vya afya! .

Ramadhani Chobwedo alikuwa amesaini mkataba wa awali wa Simba SC na kilichokuwa kimebaki ni kusaini mkataba rasmi lakini Simba SC ilimfanyia vipimo vya afya kabla ya kumsainisha mkataba na kumkuta na majeraha ya muda mrefu na Simba SC imesitisha mchakato wa kupata huduma yake kwaajili ya msimu ujao wa 2026-27 na Chobwedo ataendelea kubaki TRA United FC


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons