Bajaber na Simba kwishinei

Klabu ya Simba SC imefikia makubaliano rasmi ya kuvunja mkataba na kiungo mshambuliaji raia wa Kenya, Mohamed Bajaber (23).

​Uamuzi huo umekuja baada ya mchezaji huyo kuonekana kutokuwa kwenye mipango ya kocha mkuu wa Msimbazi, Steve Barker, jambo lililopelekea pande zote mbili kuridhia kutengana kwa amani. Bajaber tayari ameanza mchakato wa kutafuta changamoto mpya katika klabu nyingine.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons