Arajiga aweka historia Kagame Cup

Ahmed Arajigga anakua mwamuzi wa kwanza kutoka Tanzania kuchezesha michezo miwili mfululizo ya kombe la CECAFA.

Muda huu anasimamia mchezo wa hatua ya makundi kati ya Tusker dhidi ya Rayon Sports.

Mashindano hayo yanafanyika ndani ya Rwanda.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI