Alphonce Mabula ni Yanga


Yanga wako kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo Raia wa Tanzania,Alphonce Mabula Msanga.

Kambi ya Mabula imekubaliana na ofa ya mwisho ambayo imetumwa na Yanga na sasa wanajadili namna ya ulipaji wa pesa hiyo.

Mkataba wa miaka mitatu utasainiwa pale ambapo kila kitu kitakamilika.

Mabula ana ofa tatu za Ulaya ila sasa ni kama anaelekea Yanga


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons