Ally Kamwe aanika viingilio Wiki ya Wananchi

Klabu ya Yanga SC imetangaza rasmi viingilio vya Wiki ya Wananchi Agosti 9 mwaka huu katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

Akizungumza na vyombo vya habari, Afisa Habari wa klabu hiyo Ally Kamwe amesema kuwa ili
kushuhudia uzinduzi wa kikosi chao nyota wapya na burudani ya kipekee itaoneshwa kwa shilingi 300, 000.

Jezi mpya ya msimu iliyosainiwa na mchezaji unayemchagua.
usafiri wa kwenda na kurudi uwanjani kutoka Serena Hotel.
chakula wakati wa mapumziko uwanjani

𝐕𝐈𝐏 𝐓𝐢𝐜𝐤𝐞𝐭 – 𝐓𝐒𝐡 𝟏𝟎𝟎,𝟎𝟎𝟎

M𝐳𝐮𝐧𝐠𝐮𝐤𝐨 – 𝐓𝐒𝐡 𝟐𝟎,𝟎𝟎𝟎

Nafasi ni chache sana Uwanja wa Uhuru, wahi mapema kukata tiketi yako.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons