Al Hilal yaitoa mashindanoni KVZ
Al Hilal imepata ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya KVZ katika mchezo wa mzunguko wa pili wa kundi C la CECAFA Kagame cup 2026.
Ushindi huu unawafanya Al Hilal wapande kwenye kilele cha msimamo wa kundi C wakiwa na points zao 6.
Mchezo wa kundi C unaofuata hivi punde ni kati ya Rayon Sports dhidi ya Tusker FC.
