Taifa Stars walipovishwa medali zao FIFA Series
Timu ya taifa ya Tanzania , Taifa Stars jana wakivalishwa medali za mshindi wa tatu Kundi B FIFA Series 2026, Kigali, Rwanda.
Stars ilifanikiwa kushika nafasi ya tatu baada ya kuichabanga bila huruma timu ya taifa ya Macau mabao 6-0












