Makonda aja na ligi yake ya wazawa


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Wizara hiyo ina mpango wa kuanzisha ligi ya wachezaji wa ndani ili kukuza uwezo wa wachezaji hao.

Waziri Makonda ameyasema hayo Mkoani Arusha wakati akifungua kikao kazi cha 16 cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya michezo kinachoendelea mkoani humo.
.
Mfano kwa sasa ikianzishwa Ligi ya wazawa,klabu ipi itachukua ubingwa asubuhi na mapema?


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI