FIFA Series yamng' arisha Ahmed Arajiga


Mwamuzi wa kimataifa, Ahmed Arajiga, ameendelea kuonyesha kiwango bora kwa kuamua mchezo wa FIFA Series 2026 kati ya Kenya national football team na Grenada national football team uliopigwa Amahoro, Rwanda

Arajiga anaendelea kuthibitisha ubora wake kwenye majukwaa ya kimataifa, akiipeperusha vyema bendera ya Tanzania.

Wengi wanaamini ni miongoni mwa waamuzi bora nchini, licha ya changamoto za ndani zinazoweza kuathiri maendeleo yake





Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons