Duke Abuye ang' ara Harambee Stars, FIFA Series

Duke Abuya leo ameiongoza timu yake ya taifa ya Kenya kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Grenada katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa mashindano ya FIFA series.

Duke alianza kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo kabla ya baadae kuja kufanyiwa mabadiliko kwenye dakika ya 78.

Mohamed Bajaber nae alikuwepo kwenye mchezo huo, yeye aliingia mwanzoni mwa kipindi cha pili na akacheza dakika zote 45+5 za kipindi cha pili.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI