Depu aanza mazoezi Yanga, sasa mabeki watamkoma

MSHAMBULIAJI wa Yanga, raia wa Angola, Laurindo Dilson Maria Aurélio ‘Depu’ aliyekuwa anasumbuliwa na maumivu ya nyama za paja leo ameanza mazoezi mepesi ya peke yake.
Depu alikuwa akijifua peke yake leo Yanga ikijiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons Aprili 4 Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam





Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons