Kibabage abadilishana jezi na staa wa Tunisia

Beki wa Taifa Stars, Nickson Kibabage baada ya mchezo wa Taifa Stars dhidi ya Tunisia, alibadilishana jezi na staa wa Tunisia, Ali Maalouli.
.
Baada ya kubadilishana Kibabage alikiri kuwa Beki huyo amekuwa akimhusudu sana Maalouli na ni shabiki yake mkubwa.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons