Kwenye hii AFCON ya 2025 Alphonce Mabula amekuja kutulazimisha wote tuwe mashabiki wake na kwenye hilo amefanikiwa, energy aliyoanza nayo mechi ya kwanza ndio hiyo hiyo amemaliza nayo mechi ya mwisho ya makundi.
Kati kati ya msitu wq viungo wenye majina makubwa [timu pinzani ] ametoka na rate za [ 6.9 , 6.6 na 7.2 ] kwa kifupi ,hakuna mechi aliyomtukanisha Gamondi na hakuna kiungo wa timu pinzani ametoka uwanjani na filter.
Dakika 270 za Alphonce Mabula kwenye AFCON ni darasa la kujitoa hadi nukta ya mwisho kulinda heshima kwa waliokuamini ili kesho uaminiwe tena
