Mabingwa wa Tanzania bara Yanga SC hii Leo wameachia toleo la pili la jezi mpya ambayo inatambulisha Mdhamini mkuu wa mechi za kimataifa NIA.
Kwa upande wa jezi za nyumbani ndio hizo pichani ambapo tofauti ni mbili tu na zile za awali, mzalishaji mpya wa jezi pamoja na kitambaa ambacho ni tofauti na kile cha kwanza.