Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri na Orlando Pirates ,ya Afrika Kusini José Ribeiro ndiye mgombea anayeongoza kuwa Kocha Mpya wa Simba SC
Simu zinaita simba wanahitaji huduma yake mpka sasa mazungumzo yanaendelea na tajiri
Simba ni timu kubwa makocha wengi kutoka Nchi mbali mbali wanahitaji kufanya kazi na Simba.