Kocha Mkuu wa Singida Black Stars Miguel Gamondi atazungumza na Vyombo vya Habari kesho Jumatatu kuanzia saa 4:00 asubuhi, katika Makao Makuu ya NBC Bank – Posta, jijini Dar es Salaam.
Moja kati ya mazungumzo yake ni kuhusu mpango wake wa kutaka kujiunga na Simba kama imavyosemekana.
Waandishi wote wa Habari za Michezo mnakaribishwa.