RDWIN BALUA AITOSA YANGA
Kuna uwezekano mkubwa sana kiungo wa Tanzania Prisons Edwin Barua akajiunga Sarpsborg 08FF ya Norway.
Ninachojua Young Africans walionyesha nia ya kuhitaji huduma yake but nothing was serious
SimbaSimba SC Tanzaniaingia kwenye mazungumzo na Edwin Barua, na huenda dili la kwenda Norway likafa na Mwamba huyu akajiunga na Club ya Simba.