Yanga yapita na dogo wa Fountain Gate
Juma Abushiri (18) to Yanga Ni almost a Deal Done
Yanga wame-hijack dili la kinda wa Fountan gate,Juma Abushiri (Chuga Boy) kwenda KAA Gent ya Belgium.
Abushiri tayari amesaini mkataba wa miaka mitatu na Yanga
Yanga wamempa kiungo huyo sign on fee tsh 90milion,kisha watalipa tsh 100 milion kwenda Fountain gate ili kuvunja mkataba wake wa miaka mitano.
Mkataba wa Abushiri na Yanga umesainiwa kwenye hotel ya Gran Melia Arusha
Kiungo huyo alikuwa na ofa ya kwenda Gent na alitakiwa kuondoka nchini tarehe 12/8/2026 ila Yanga wamepindua meza na kijana kasaini Jangwani.
